"Nguvu zangu zilikuwa zimeanza kupungua sana. Nilikuwa nachoka haraka hata baada ya kufanya kazi kidogo. Lakini baada ya wiki chache tu za kutumia hii package, nimeanza kujisikia kama kijana tena. Hata mke wangu ananitabasamia sasa. Nimefurahi sana."
"Nilikuwa nazima ghafla katikati ya mchezo. Lakini package ya Recharge My40 imebadilisha mambo kabisa. Sasa ni mwendo wa ngiri na wife anafurahia sana. Nashukuru sana kwa hii bidhaa."
"Nimekuwa nikisumbuka na kukojoa mara kwa mara usiku kwa muda mrefu. Ilikuwa inavuruga sana usingizi wangu. Tangu nilipoanza kutumia Recharge My40, nimeona tofauti kubwa sana. Sasa naweza kulala vizuri usiku kucha. Asante sana!"
Mwanzoni nilikuwa na wasiwasi kujaribu hii package, lakini niliamua kujaribu kwa sababu nilikuwa nahisi ni nzuri. Na lazima niseme, nimefurahi sana nilivyojaribu. Nimeona mabadiliko makubwa. Ni kama nimepata 'recharge' kweli."
Sikiliza, uko hapa kwenye ukurasa huu kwa sababu tayari umepitia kile kitabu cha “Recharge My40” – kile ambacho kimefungua macho kuhusu ukweli usiopendeza: zaidi ya asilimia 90 ya wanaume waliovuka miaka 40 hawawezi kumridhisha mwanamke na kumfanya atake tena na tena.
Na kama ulikisoma, basi umeshaelewa SIRI kubwa iliyojificha nyuma ya yote: Tezi Dume. Usipodhibiti hili, mambo yanaweza kwenda mrama haraka sana.
Lakini kama bado hujakipitia, sikiliza ushauri wa mtu ambaye amepitia haya: acha kila kitu unachofanya sasa hivi. Nenda kasome kile kitabu kwanza.
Ni kama kujenga msingi wa nyumba yako – huwezi kujenga ghorofa bila msingi imara. Kile kitabu ndio msingi wako wa kuelewa nini kinaendelea ndani ya mwili wako.
Ukimaliza, rudi hapa, tuna suluhisho la uhakika kwako.
Kile kitabu kimefunua kila kitu kuhusu TEZI DUME kwa lugha rahisi sana. Kila kitu unachohitaji kujua kama mwanaume uliyevuka miaka 40 kuhusu tezi dume na nguvu za kiume, kimeandikwa pale.
Ni sawa kuwa na ramani ya eneo ambalo wengi wetu tunapotea tunapoelekea utu uzima.
Lakini si hivyo tu! Pia…
Klabu ya SIRI kwa wanaume wa rika letu. Kule, tunaongea ukweli mtupu. Hakuna kujificha. Tunashirikishana changamoto zetu – za kiafya kwanza, na hata zile za kiuchumi zinazotukumba.
Na muhimu zaidi, tunapeana connections, tunasaidiana. Ni kama kuwa na kundi lako la “wazee wasomi” wenye akili na uzoefu.
Sasa, swali la msingi hapa ni…
Fikiria hivi: ni kama timu ya wachezaji bora wa mpira. Au kikosi cha askari makomando kwenye vita. Kila mmoja ana kazi yake maalum, na wanapofanya kazi pamoja, matokeo yanakuwa ya haraka na ya uhakika.
Package hii ni mjumuisho wa bidhaa 6 (aina moja ziko 4), kwa jumla unapata bidhaa 9 kwenye boksi moja. Zimechaguliwa kwa akili nyingi sana, kwa msingi wa sayansi iliyothibitishwa.
Nwaweza kukuhakikishia, ni njia salama na ya mkato kupata matokeo unayoyataka, haraka. Kila kitu ndani ya hii package kimechaguliwa kwa kazi yake maalum.
Na tayari zimeshawasaidia zaidi ya wanaume 1327 hapa Afrika Mashariki kuondokana na ile aibu ya kukosa nguvu za kiume.
Katika hao, asilimia 87% ya wanaume waliozitumia hizi bidhaa kwa uaminifu waliona mabadiliko ndani ya siku 30. Sio habari za kusikia, ni ukweli kutoka kwa wenzetu.
Na ile asilimia 13% iliyobaki?
Asilimia 6% yao walikuwa “wanajaribu bahati” – hawakutumia bidhaa kama tulivyowaelekeza. Ni kama walikuwa wanaendesha gari huku wamekanyaga breki.
Na asilimia 7% walikuwa na tatizo ambalo lilikuwa kubwa zaidi ya kukosa nguvu za kiume tu. Lakini hata hao, tuliwapa mwelekeo, tukawaambia wafanye nini, na ilichukua muda kidogo zaidi.
Fikiria hivi: ni kama kulipa kidogo leo ili kuepuka gharama kubwa zaidi kesho. Afya, nguvu, na furaha yako ni vitu vya thamani sana. Usivipuuze.
Ukitumia hii package, kuna uwezekano mkubwa sana wa kukumbana na mabadiliko haya ambayo unaweza kuwa umeyasahau kwa muda mrefu…
Endapo utakumbana na moja ya hizi changamoto na unahitaji mawazo ya jinsi ya kuzishughulikia, usisite kutushirikisha kwenye jukwaa letu. Huko ndiko tunasaidiana kweli.
FAQ
Pata maelezo yote unayohitaji kufanya uamuzi sahihi.
Package ya Recharge My40 ni mchanganyiko maalum wa bidhaa sita zilizochaguliwa kwa uangalifu ili kusaidia afya ya wanaume zaidi ya miaka 40. Hizi ni pamoja na:
Ndiyo, utapokea maelekezo kamili ya jinsi ya kutumia kila bidhaa ndani ya package yako ya Recharge My40. Kwa ujumla, inashauriwa kutumia virutubisho kwa kufuata kipimo kilichopendekezwa kwenye kila bidhaa. Tunapendekeza sana ufuate maelekezo kwa uangalifu ili kupata matokeo bora.
Wanaume wengi wanaotumia package ya Recharge My40 huanza kuona baadhi ya faida ndani ya siku 30 za kwanza za matumizi ya mara kwa mara. Hata hivyo, matokeo yanaweza kutofautiana kulingana na mtu binafsi, hali yake ya afya, na jinsi anavyofuata programu kwa uaminifu. Kwa matokeo bora na ya kudumu, inashauriwa kutumia package mara kwa mara.
Package ya Recharge My40 imeundwa kwa kutumia viungo vya ubora wa juu ambavyo kwa ujumla vinachukuliwa kuwa salama kwa watu wengi. Hata hivyo, kama ilivyo kwa virutubisho vyote, watu wengine wanaweza kupata athari ndogo. Ikiwa una wasiwasi wowote au una hali yoyote ya kiafya iliyopo, tunapendekeza uwasiliane na daktari wako kabla ya kuanza kutumia package hii.
Faida kuu za kutumia package ya Recharge My40 ni pamoja na:
Ikiwa una matatizo mengine ya kiafya au unatumia dawa nyingine, ni muhimu sana kushauriana na daktari wako kabla ya kuanza kutumia package ya Recharge My40. Daktari wako anaweza kukupa ushauri bora kulingana na hali yako ya kiafya binafsi na dawa unazotumia.
Package ya Recharge My40 imeundwa mahususi kuwa suluhisho kamili kwa wanaume zaidi ya miaka 40. Bidhaa zote sita hufanya kazi kwa pamoja ili kulikabili tatizo kwa wakati mmoja. Kwa kununua package nzima, unapata urahisi wa kuwa na virutubisho vyote unavyohitaji kwa ajili ya afya yako kwa ujumla, na mara nyingi kwa bei nzuri zaidi kuliko kununua kila bidhaa pekee.
Tuna imani kubwa kuwa utaridhika na package ya Recharge My40. Hata hivyo, ikiwa kwa sababu yoyote hujaridhika kabisa na matokeo, tafadhali wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja ndani ya siku 30 tangu ulipopokea package yako. Tutafanya kazi nawe ili kuhakikisha unaridhika, ambayo inaweza kujumuisha marejesho ya pesa kulingana na sera yetu ya vigezo na masharti.