Wanaume 1,327 kutoka Kenya na Tanzania kama wewe wameweza kuimarisha nguvu za kiume maradufu… kufyeka hatari ya saratani ya tezi dume kwa 37%… na kuhisi kama vijana wa miaka 25 tena (bila kutumia makopo ya vidonge au safari za kumuona daktari).
Kabla, nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu afya yangu ya tezi dume, hasa kwa umri wangu. Lakini tangu nimeanza kufuata ushauri huu, nimejisikia vizuri sana na nina imani kubwa zaidi. Najua nimechukua hatua muhimu kujikinga na matatizo makubwa.
“Nilidhani zile siku zangu za kucheza ‘mechi’ zimekwisha. Lakini baada ya kusoma kitabu na kufanyia kazi, mke wangu anacheka na kuniuliza kama nimepata ‘power bank’ mpya. Ananiambia, ‘Hivi kweli wewe ndio yule yule?’ Nimefurahi sana. Hakuna vumbi la Congo hapa, ni maarifa niliyopata.”
“Mke wangu alikuwa anaanza kuwa na wasiwasi na mimi. Kwa mwezi ilikuwa si zaidi ya 2x. Lakini sasa, ni moto juu. Kila mara ananiuliza, ‘Wewe kweli unatumia dawa gani za siri? Hii si kawaida!’ Ananiita ‘Mr. 25’ sasa. Siri yangu ni hiki kitabu, si vumbi la Congo.”
“Nilikuwa nimeanza kujihisi nimeishiwa nguvu kabisa. Lakini tangu nimeanza kufuata yale niliyojifunza, mke wangu ananiambia, ‘Baba watoto, siku hizi unatumia vumbi la Congo?’ Anashangaa sana mabadiliko. Ukweli ni kwamba, ni hiki kitabu kimenirejesha ujanani”
“Nilidhani zile siku za ‘enzi’ zimepita. Lakini tangu nimeanza kufuata ushauri huu, mke wangu ananiambia, ‘Babu, wewe siku hizi unakuwa kama kijana mdogo. Umepata wapi nguvu hizi? Lazima kuna siri!’ Nimefurahi sana. Siri ni kufanyia kazi maarifa niliyopata hapa.”
Hebu tuzungumze UKWELI…
Wewe ni mwanaume uliyetimiza miaka 40 au zaidi, sivyo?
Na kama wengi wetu, labda umegundua mambo yanaanza kubadilika. Sio tu nywele zinazopungua, kuwa nyeupe au tumbo linaloongezeka (haya ni mambo madogo!), bali kuna kitu kingine… kitu ambacho hakuna mtu anapenda kuzungumzia.
Unajua ninachomaanisha, sivyo?
Labda unaona nyege si kama zamani tena. Labda ule moto “performance” wako chumbani si ule ule tena. Pengine nguvu za mwili si kama awali. Au labda unaanza kukumbana na usumbufu usio wa kawaida unapotaka kukojoa.
Usijidanganye. Hizi si dalili za kawaida za uzee. Hizi ni ishara za hatari ambazo zinaweza kumaanisha kitu kimoja: Tezi dume lako linahitaji attention.
Na kama hufanyi chochote kulihusu, unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa zaidi kuliko unavyofikiria.
Nimeandika kitabu hiki kwa sababu nimechoshwa na uwongo.
Nimechoka kuona wanaume wenzangu wakipoteza uanaume wao, afya zao, na hata maisha yao kwa sababu ya tatizo ambalo linaweza kuepukika.
Nimeona haya kwa macho yangu mwenyewe.
Babu yangu niliyempenda sana, alifariki kutokana na matatizo yanayohusiana na tezi dume. Na mdogo wake naye alipambana na tatizo hilo.
Lakini kilichoniumiza zaidi ni kumpoteza baba yangu mzazi hivi karibuni kwa kansa ya tezi dume. Alikuwa na miaka 69 tu. Bado alikuwa na mengi ya kufanya. Lakini ugonjwa huu mnyama alimnyakua.
Tangu wakati huo niliamka usingizini. Nilijua pengine mimi ndiye nayefuata. Siyo kwa sababu naogopa kifo, bali kwa namna mzee alivyoteswa na huu ugonjwa.
Sababu?
Alificha. Kwa nini alificha?
Tatizo sugu la wanaume wengi wa kiafrika: pride.
Alikuja kusema baada ya kuzidiwa kweli kweli. Tayari ilikuwa stage 4. Stage ambayo ishaanza kutafuna mifupa ya nyonga. Hakuwa na uwezo wa kutembea. Kila kitu alimalizia pale pale. Usiombe!
Nimeona jinsi matatizo ya tezi dume yanavyoweza kuharibu maisha ya mwanaume. Yanakuathiri kimwili, kiakili, na hata kifedha.
Fikiria hili:
Lakini hapa kuna habari njema: Huna haja ya kuwa mhanga wa hali hii, ukitaka.
Hakuna bla bla! Unaenda kugundua jinsi ambavyo wanaume 1,327 kutoka Kenya na Tanzania wamebadilisha maisha yao kwa kufuata muongozo huu.
“Niliinunua hiki kitabu kama utani. Baada ya miezi miwili, mimi ndiye niliyekuwa gumzo—lakini kwa maana nzuri. Mke wangu ndiye aliyekuwa wa kwanza kuona tofauti. Sasa wafanyakazi wenzangu wanakuja kwangu kupata ushauri.”
Ndiyo maana nimeandika kitabu...
Hiki si kitabu cha kawaida. Huu ni muongozo wa moja kwa moja ambao utakufundisha kila kitu unachohitaji kujua kuhusu afya yako ya tezi dume na jinsi ya kuimarisha “performance” yako chumbani.
Sura ya 1: Afya ya Uzazi Baada ya Miaka 40: Utajifunza kwa nini ni muhimu kuwa makini na afya yako baada ya miaka 40 na kwa nini kauli maarufu ya “life begins at 40” inaweza kuwa hatari.
Sura ya 2: Tezi Dume: Utashangaa kujua ukweli kuhusu tezi dume na kwa nini ni muhimu kuilinda kuliko unavyofikiria.
Sura ya 3: Lishe Bora: Utatambua aina za chakula ambacho zinaweza kuwa zinaharibu afya yako bila wewe kujua, na utajifunza mbadala wake.
Sura ya 4: Kudhoofu Tezi Dume: Utapata uelewa wa kina kuhusu jinsi matatizo ya tezi dume yanavyoanza na kwa nini ni muhimu kuyashughulikia mapema.
Sura ya 5: Tezi Dume na Nguvu za Kiume: Utajifunza uhusiano wa moja kwa moja kati ya afya ya tezi dume na uwezo wako chumbani.
Sura ya 6: Takwimu za Kushtua: Utashangazwa na ukweli kuhusu saratani ya tezi dume na kwa nini unapaswa kuchukua hatua sasa.
Sura ya 7: Matibabu ya Tezi Dume: Utajifunza kuhusu aina ya matibabu ambayo unaweza kupatiwa endapo utagundulika una tatizo.
Sura ya 8: Baada ya Upasuaji: Kama ni wewe au mtu unayemjua amefanyiwa upasuaji, sura hii itakupa mwongozo wa jinsi ya kupona haraka na kurejea kwenye maisha yako ya kawaida.
Sura ya 9: Athari Kiuchumi: Utajifunza jinsi ya kuepuka gharama kubwa za matibabu ya kansa ya tezi dume kwa kuchukua hatua za mapema.
Sura ya 11: Recharge My40+: Hapa ndipo nitakuelezea kuhusu suluhisho ambalo nimekuwa nikitumia mwenyewe na ambalo limenipa matokeo ya ajabu katika kuboresha afya yangu na nguvu za kiume.
Najua, unaweza kuendelea kupuuza hili. Unaweza kuendelea kuamini kuwa haya ni mambo ya kawaida ya uzee.
Lakini ukifanya hivyo, unajiweka kwenye hatari kubwa.
Kwa nini uendelee kuishi kwa kubahatisha wakati unaweza kufanya maamuzi sahihi juu ya afya yako ya uzazi ukiwa na ufahamu sahihi?
Chagua kwa busara.
Kitabu hiki kinauzwa kwa TZS 20,000 tu au $9. Hii ni gharama ndogo sana ukilinganisha na thamani unayopata. Fikiria kuhusu gharama za matibabu, maumivu, na huzuni ambavyo unaweza kuepuka kwa kuchukua hatua hii ndogo leo.
Lakini subiri—ngoja nikupe SIRI nyingine ambayo pengine hujagundua.
Hiki si kitabu tu. Ni tiketi yako ya dhahabu ya kupata mwaliko maalum wa kujiunga na…
Unaponunua kitabu, unakuwa moja kwa moja umepata uanachama wa BURE kwa:
✅ Maswali na Majibu binafsi na wataalamu wa magonjwa ya mfumo wa mkojo kutoka Afrika Mashariki (Uliza chochote—hakuna anaye kuhukumu.)
✅ Challenge “Siku 30 za Mwanzo” (Shindana na wanaume wenzio kupunguza mafuta, kuongeza nguvu, na ushinde zawadi.)
✅ Jukwaa la “Ukweli Halisi” (Ambapo wanaume wanashirikishana kile kinachofanya kazi kweli kuimarisha nguvu za kiume na afya ya tezi dume.)
Fikiria hili:
Hununui kitabu tu. Unaajiri timu ya wataalamu…
Na unapata kikosi cha wapiganaji ambao wanakuunga mkono.
Na kumbuka, nimekuwa kwenye viatu vyako. Nimeona jinsi tatizo hili linavyoweza kuwa baya kama hujachukua tahadhari ya kujikinga. Na nimeandika kitabu hiki kwa sababu nataka kukusaidia.
Usisubiri hadi kesho. Afya yako ni muhimu sana.
Chukua hatua sasa hivi. Bonyeza hapa chini na upate nakala yako ya kitabu leo.
Naelewa.
Lakini hebu fikiria hili: Unaweza kuendelea kufanya kile ambacho umekuwa ukifanya na kupata matokeo yale yale.
Au unaweza kujipa nafasi ya kukutana na kujifunza kitu kipya ambacho kinaweza kubadilisha maisha yako kabisa.
Chaguo ni lako.
Ungalikuwa unaniuliza mimi, ningalikushauri… chagua kwa ajili ya ustawi wa afya yako.
Tafadhali kumbuka: Recharge My40 ni bidhaa huru na haina uhusiano wowote na Facebook au kampuni zake zozote. Halikadhalika, taarifa zinazotolewa katika [bidhaa/programu/kitabu hiki] hazikusudii wala haipaswi kuchukuliwa kama mbadala wa ushauri, uchunguzi, au matibabu kutoka kwa mtaalamu wa afya aliyehitimu. Daima wasiliana na daktari wako kwa masuala yoyote yanayohusu afya yako.